Siyawezi Lyrics – Jay Melody

Siyawezi Lyrics - Jay Melody

“Siyawezi” is a new track by Jay Melody which dropped on August 14, 2024. The lyrics were penned by Sharif Saidi Juma, and the music was produced by ​Ally Ramadhan Juma. The music video for “Siyawezi” is directed by Kelly Films.

Siyawezi Lyrics By Jay Melody



Once Again
Nikiulizwa Nakupenda
Najibu I Love You Nyang’anyang’a
Hasa Hilo Ndo Tatizo
Cheki Kitu Unachonifanya

Navyovitaka My Booh Nipe Vyote
Penzi Maji Nilioge
Au Kambare Nielee Kwenye Tope
Nipeleke Kaaa Ling’ombe

Me Napenda Kudekezwa
Sipendi Kuumia Ooooh
Na Hata Nikituma Message
Naomba Kujibiwa Oooh

Hiyo Michezo Unayocheza
Mwenzako Me Nitaliaa
Na Hata Niktaka Mapenzi
Naomba Kupatiwa Oooh

Siyawezi Haya Mapenzi Siyawezi
Najua Uko Busy Kweli Ila Mwenzako Ndo Siwez
Ayi Babe
Siyawezi Haya Mapenzi Siyawezi
Najua Uko Busy Kweli Ila Mwenzako Ndo Siwez
Ayi Babe

Wee Juwaa Mapenzi Yananiendesha
Hizi Fujo Huu Usumbufu
Wee Ndo Unanipelekesha
Kwani Naapa Siwezi Kuacha
Kama Kuilamba Kama Kuing’ata
Kama Kwenye Makochi
Au Kwenye Kitanda
Venyewe Unanipa Ndo Inanibambaaaaaa

Me Napenda Kudekezwa
Sipendi Kuumia Ooooh
Na Hata Nikituma Message
Naomba Kujibiwa Oooh
Hiyo Michezo Unayocheza
Mwenzako Nitaliaa Oooh
Na Hata Niktaka Mapenzi
Naomba Kupatiwa Oooh

Siyawezi Haya Mapenzi Siyawezi
Najua Uko Busy Kweli Ila Mwenzako Ndo Siwez
Ayi Babe
Siyawezi Haya Mapenzi Siyawezi
Najua Uko Busy Kweli Ila Mwenzako Ndo Siwez
Ayi Babe



Siyawezi Haya Mapenzi Siyawezi
Najua Uko Busy Kweli Ila Mwenzako Ndo Siwez
Ayi Babe

Related Songs –

Siyawezi Song Credits:

Song Name:Siyawezi
Lead Vocals:Jay Melody
Written/Lyrics By:Sharif Saidi Juma
Music Produced By:Ally Ramadhan Juma
Music Label:Jay Melody
Release Date:August 14, 2024

Frequently Asked Questions

Who produced “Siyawezi” by Jay Melody?

“Siyawezi” by Jay Melody was produced by ​​​Ally Ramadhan Juma.

When did Jay Melody release “Siyawezi”?

Jay Melody released “Siyawezi” on August 14, 2024.

Who wrote “Siyawezi” by Jay Melody?

“Siyawezi” by Jay Melody was written by ​Sharif Saidi Juma.

Who sang the “Siyawezi” Song?

Siyawezi song is sung by Jay Melody.