On June 17, 2024, Tanzanian singer and songwriter Jay Melody released his new song “18”. The lyrics were written by Sharif Saidi Juma, with the music was produced by Mr Lg.
18 lyrics by Jay Melody
Nilipanga Nitapenda Nikifika Miaka 20
Hivi Sasa 18 Sijui Nimepatwa Nini
Kuna Mtu Nampenda Lakini Sijiamini
Sio Kama Najua Sana Kwamba Mapenzi Ni Nini
Ananitoa Kwenye Malengo
Sikupanga Kuingia Kwenye Maupendo
Ananitoa Kwenye Malengo
Vitu Vyake Nvutiwa Kila Engo
Oh Mimi Tafadhali Moyo Wangu
Haya Mapenzi Dhahabu
Tafadhali Kweli Moyo Wangu
Haya Mapenzi Yangu Dhahabu
Bado Najiuliza Kama Ana Hisi
Nnavyo Hisi Ila Najua Kua Hivyo Sio Rahisi
Na Mi Mgeni Wa Mapenzi Nisije
Nikaitiwa Police Nikaumbuka Nikachukia Mapenzi
Penzi Oooh
Penzi Oooh
Usiniumbue Mwenzio
Nikaanza Na Kilio
Eti Ndo Kiinglio
Ananitoa Kwenye Malengo
Sikupanga Kuingia Kwenye Maupendo
Ananitoa Kwenye Malengo
Vitu Vyake Nvutiwa Kila Engo
Oh Mini Tafadhali (We Tafa)
Moyo Wangu (We Moyo)
Haya Mapenzi Dhahabu (Tafa We)
Tafadhali Kweli Moyo Wangu (Oh Moyo)
Haya Mapenzi Yangu Dhahabu
Ololoooo
Mmmmh
Dhahabu
Ooonhooo
Mmmmh
Dhahabu
Once Again
Related Songs –
- Woman’s World – Katy Perry
- Tore Up – Don Toliver
- I Love You, I’m Sorry – Gracie Abrams
- Us – Gracie Abrams (feat. Taylor Swift)
- Please Please Please (Radio Edit) – Sabrina Carpenter
- The girl, so confusing version with lorde – Charli xcx
18 Song Info:
Song Name: | 18 |
Lead Vocals: | Jay Melody |
Written/Lyrics By: | Sharif Saidi Juma |
Music Produced By: | Mr Lg |
Music Label: | Jay Melody |
Release Date: | June 17, 2024 |
Music Video Director: | Hanscana |
Frequently Asked Questions
Who produced “18” by Jay Melody?
“18” by Jay Melody was produced by Mr Lg.
When did Jay Melody release “18″?
Jay Melody released “18” on June 17, 2024.
Who wrote “18” by Jay Melody?
“18″ by Jay Melody written by Sharif Saidi Juma.
Who sang the “18” Song?
The “18” song is sung by Jay Melody.